Usimamizi wa Madarasa
Unda na simamia madarasa mengi, ongeza wanafunzi na panga kwa majina au madaraja kwa haraka.
Programu iliyoundwa kwa walimu wa Tanzania — panga madarasa, ingiza matokeo, fuatilia mahudhurio na pata maazimio, yote mahali pamoja.





1,000+ walimu wanatetuamia
📶
Offline Ready
Bila mtandao
⚡
Haraka Sana
Anza dakika 1
📄
PDF & Excel
Ripoti papo hapo
Kuanzia kupanga ratiba mpaka kutengeneza matokeo ya mwisho wa muhula, Darasa Langu inakuondolea usumbufu wa makaratasi.
Unda na simamia madarasa mengi, ongeza wanafunzi na panga kwa majina au madaraja kwa haraka.
Panga ratiba za vipindi, masomo na kazi za kila siku ili usipoteze muda kwenye makaratasi.
Pata maazimio ya somo kwa shule za msingi, O-Level na A-Level moja kwa moja kwenye simu yako.
Ingiza alama za wanafunzi, panga kutoka juu kwenda chini, na toa ripoti katika PDF au Excel.
Fuata mahudhurio ya kila siku, tazama takwimu na uhifadhi historia ya kila mwanafunzi.
Soma habari za elimu, mabadiliko ya mitaala na blog za walimu kutoka maeneo mbalimbali.
01
Jisajili kwa hatua chache, kisha ongeza darasa na wanafunzi wako ndani ya dakika chache.
02
Unda ratiba ya vipindi na tumia maazimio yaliyopo kuandaa somo lako kwa urahisi.
03
Ingiza alama, weka mahudhurio na pakua ripoti kwa wazazi, wanafunzi na utawala.
Tumeiunda kwa mazingira ya Tanzania — rahisi kutumia, na inayofanya kazi vizuri kwenye simu nyingi.
Pakua Bure →Kabidhi Kazi Zako Kwetu
Badala ya kurudia kazi zilezile kila siku, tumia Darasa Langu kupanga, kurekodi na kuhifadhi taarifa zako kwa usalama.
Panga Matokeo ya Wanafunzi
Tengeneza matokeo kwa usahihi, panga kwa alama au alfabeti, na pakua ripoti zinazoweza kuchapishwa mara moja.
Pata Maazimio na Habari
Usipoteze muda kutafuta maazimio – vyote viko ndani ya programu, pamoja na habari muhimu za elimu.
Usalama na Faragha
Taarifa za wanafunzi zinahifadhiwa kwa usalama, na programu inafanya kazi hata bila intaneti.
Anza bure, kisha panda kadri unavyohitaji.
Anza kujaribu Darasa Langu bila malipo.
Milele
Kwa mwalimu anayehitaji zaidi ya huduma za msingi.
Kwa miezi 3
Chaguo bora kwa walimu wengi wa shule moja au zaidi.
Kwa miezi 6
Kwa walimu au shule zinazotaka uwezo wote bila kikomo.
Kwa mwaka mzima
Ndiyo. Unaweza kutumia programu bila intaneti na taarifa zako zitahifadhiwa salama kwenye kifaa chako. Zitasawazishwa mara tu ukipata intaneti.
Kiasi cha madarasa kinategemea kifurushi. Mpango wa Super na Premium unaruhusu kuongezea madarasa mengi zaidi, na Premium haina kikomo.
Ndiyo. Tunazingatia usalama na faragha ya taarifa zako kwa kutumia kanuni bora za kuhifadhi data.
Pakua programu, jisajili, kisha fuata hatua rahisi za kuunda darasa lako la kwanza na kuongeza wanafunzi.
Inapatikana kwenye Android kupitia Google Play, au tembelea tovuti yetu kwenye www.darasalangu.com.